Mbunge wa Jimbo la Morogoro mjni,Azizi Abood akimkabidhi jezi ya mpira kapteni wa Timu ya Jakalanda Frank Kassimu,mara baada ya kuzindua mashindano ya Ndulu Cup,yanayofanyika katika viwanja vya Ndetembia Kihonda.
Mkurugenzi wa Ndulu of Companies ltd.Castor Ndulu kulia,Mbunge wa Jimbo la Morogoro mjni Azizi Abood wakikabidhi jezi za mashindano ya Ndulu Cup,yenye nia ya kuiua vipaji na kuunda timu ya Ndulu Company.
No comments:
Post a Comment