Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro,Leonad Paul akionyesha baadhiya zana za mlipuko walizokatwa nazo watu wanaosadikiwamagaidi wilayani Kilombero |
Askari Polis,Koplo Daby akipata matibabu katika zahanati ya jeshi la polisi mkoa wa Morogoro baada ya kukatwa na jambia shingoni na mtuhumiwa aliyesadikiwa ni gaidi wilayani Kilombero.
No comments:
Post a Comment