Wednesday, April 8, 2015

Mbunge wa Jimbo la Morogoro mjini,Aziz Abood agawa vifaa vya chakula kwa mama lishe katika kituo cha mabasi Msamvu.


Wakina mama wakipokea kwa furaha vifaa vya chakula kutoka kwa Mbunge wa Morogoro mjini Aziz Abood,zaidi ya kina mama 200 walipatiwa vifaa hivyo.

No comments:

Post a Comment