![]() |
Madereva na makondakta wa daladala zinazotoa huduma ndani ya manispaa ya Morogoro wakisukuma gari la Mbunge wa Morogoro mjini,Aziz Abood baada ya kumaliza mgogoro wao na Sumatra. |
![]() |
Madereva wa daladala zinazotoa huduma katika manispaa ya Morogoro wakimpongeza Mbunge wao Aziz Abood kwa kumaliza mgogoro kati yao na Sumatra. |
![]() |
Mbunge wa Jimbo la Morogoro mjini Aziz Abood akizungumza katika kikao cha kusuluhisha mgogoro kati ya madereva wa daladala na Sumatra |
No comments:
Post a Comment