Friday, May 2, 2014

NMB -MOROGORO YAELIMISHA WATEJA WAKE UMUHIMU WA KUTUMIA SIMU ZA MKONONI KUPATA HUDUMA ZA KIBENK



Wafanyakazi wa Benki ya NMB tawi la Wami Manispaa ya Morogoro wakitoa elimu kwa  wateja wao kuhusu umuhimu wa kutumia simu  za mikononi kupata huduma  za kibenki ili  kupunguza msongamano ndani ya  benk.(picha kwa  hisani ya Mhakita)


No comments:

Post a Comment