Thursday, July 4, 2013

DIANA LAIZER,NDIYE MISS REDDS KANDA YA MASHARIKI

Aliyekuwa miss redds mkoa wa Morogoro,2013,Diana Laizer aibuka tena miss Redds Kanda ya Mashariki,Diana Laizer atawakilisha kanda ya Mashariki katika sakata la kumtafuta Miss Redda Tanzania itakayofanyika mwishoni mwa mwaka huu.

No comments:

Post a Comment