WANANCHI ..NI HAKI YENU KUFUATILIA MAPATO NA MATUMIZI YA MIRADI KATIKA MAENEO YENU
Mratibu wa shirika lisilo la kiserikali la Kijogoo Group ,Bw Ramadhan Said akiwa na wananchi katika utekelezaji wa mradi wa ufuatiliaji rasilimali fedha sekta ya maji wilayani Gairo mkoani Morogoro
No comments:
Post a Comment