Tuesday, October 23, 2012

WATOTO WA SHULE MNAIJUA AKAUNTI YA JUNIOR ?


Meneja  wa NMB kanda  ya mashariki ,Bw Gabriel Ole Loibanguti  akiongea  na wanafunzi wa shule ya msingi Mvumi mara  baada  ya  Benki  hiyo  kutoa msaada wa madawati 85 na meza  tano za  walimu  wilayani kilosa .

No comments:

Post a Comment