USITUPE TAKA H0VYO KATIKATI YA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI
Wanachama wa Mtandao wa habari za kijamii Tanzania (Mhakita)na Maafisa wa hifadhi ya taifa ya Mikumi wakifanya usafi katika maeneo ya hifadhi kama uamasishaji watumiaji ya barabara ya Morogoro Iringa kuacha kutupa taka katikati ya hifadhi .
No comments:
Post a Comment