UHABA WA MAJI GAIRO CHANZO CHA UMASIKINI KWA WANANCHI
Tatizo la maji katika tarafa ya Gairo wilaya ya Gairo mkoani Morogoro imekuwa kero kubwa kiasi cha wananchi kushindwa kumudu kufanya shughuli nyingine za maendeleo .Picha kwa hisani ya shirika lisilo la kiserikali la Kijogoo group
No comments:
Post a Comment