Naibu Waziri wa habari na Utamaduni , ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Mvomero ,Bw Amos Makala ,ameipongeza benki ya Nmb katika kupunguza makali ya changa moto katika sekta ya elimu katika maeneo mbalimbali nchini ,Picha kulia akiongea na wananchi mara baada ya kukabidhiwa madawati 70 kutoka benki ya Nmb kanda ya mashariki .
No comments:
Post a Comment