WAKINA MAMA WA KIMASAI "TUNAHITAJI ELIMU JUU YA UMUHIMU WA UZAZI WA MPANGO"
Mratibu wa Mtandao wa habari za Kijamii Tanzania ,Bw Ramadhan Libenanga ,akiwa na wakina mama wafugaji wa Kimasai katika kijiji cha Msata wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani katika kuhamasisha elimu juu ya Uzazi wa mpango kwa jamii za kifugaji .
No comments:
Post a Comment