Friday, November 2, 2012

KULEA YATIMA NI JUKUMU LA KILA MTU SIO SERIKALI WALA TAASISI ZA KIDINI PEKEE

Wanachama na viongozi wa mtandao wa mhakita  wakiwa  katika  picha  ya pamoja  na watoto  yatima  katika  kituo cha kulea  watoto  yatima  cha Mgolole mara  baada  ya kukabidhi  msaada wao wa  vyakula ,shuka , sabuni ,neti nk 

No comments:

Post a Comment