Tuesday, December 1, 2015

WAWILI WATIWA MBARONI KWA KUKAMATWA NA BANGI

Kamada wa Polisi wa Mkao wa Morogoro Leonad Paulo akiwaonesha wanahabari hawapo pichani bangi iliyokatwa eneo la Mikese Morogoro.

Kamnda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro Leonad Paulo akieleza jinsi walivonasa bangi hiyo ikiwa ndani ya tenga 28 za ndizi gari iliyokuwa imetoka Shinyanga kuelekea Dar.

No comments:

Post a Comment