Thursday, November 12, 2015

VIJANA WAPATAO 30 KUTOKA AFRIKA KUSINI WATEMBELEA MAKABURI YA WAPIGANIA UHURU YALIYOPO MAZIMBU MOROGORO.

Vijana kutoka Afrika Kusini wakitembelea maeneo yaliyoishi wapigania uhuru wa Afrika Kusini

Katika eneo la Hospitali ya Mazimbu

Vijana kutoka Afrika Kusini wakitembelea eneo la mifugo

Wakisikiliza maelezo kutoka kwa viongozi

Afisa Mkuu wa masuala ya Urithi kutoka Afika Kusini Sonwabile Mancotyeor akiweka shada la ua katika mnara wa kumbukumbu. 

Naibu Mkuu wa Kampasi ya Solomon Mahlangu kutoka chuo cha Sokoine cha Kilimo (SUA),Mhandisi Frederick Kahimba akiweka shada la ua katika mnara wa kumbukumbu.

Tlholo Mohlathe akiweka shada la ua katika mnara wa kumbukumbu kwa niaba ya vijana wa Afrika Kusini.

Vijana kutoka Afrika ya kusini wakiwa katika picha ya pamoja katika mnara wa Kumbukumbu.

Makaburi ya wapigania uhuru wa Afrika Kusini.

Vijana wa Afrika Kusini wakithuru makaburi.

Vijana wa Afrika ya Kusini wakipata malezo kutoka kwa viongozi.

No comments:

Post a Comment