Tuesday, December 1, 2015

JUMUIYA YA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO WAFANYA USAFI KATA YA MWEMBESONGO.

Jumuiya ya SUA,wakifanya usafi katika kata ya Mwembesongo ikiwa ni matukio ambayo hufanyika wiki moja kabla ya mahafali ya wahitimu.

Rais wa Jumuiya wa wafanyakazi na wahitimu wa SUA,Pro.Mbassa akikabidhi vifaa vya usafi kwa kikundi cha usafi cha funga kazi kilichopo katika kata ya Mwembesongo.
                                               


No comments:

Post a Comment