Tuesday, November 10, 2015

WAANDISHI WA HABARI MOROGORO WAFAIDIKA NA ELIMU YA MADINI.

Waandishi wa habari mkoani morogoro katika majadiliano juu ya uanzishwaji wa Mradi wa madini ya Kinywe uliopo wilayani Ulanga.

Mwakilishi wa Chaneli Ten mkoa wa Morogoro,Jimmy Mingele akichangia mada katika semina  hiyo.

Majadiliano yakiendelea baada ya kupata taarifa za mradi huo.

Mkurugenzi wa MTL Consulting,John Tindyebwa akifafanua jambo katika semina ya wanahabari juu ya uanzishwaji wa mradi wa madini ya Kinywe wa Epanko uliopo Ulanga.
             

No comments:

Post a Comment