Friday, August 21, 2015

WADAU WA ARDHI WAPATIWA MAFUNZO YA HAKI MILIKI YA ARDHI

Meya wa Manispaa ya Morogoro,katikati Amir Nondo,Mkurugenzi wa MPLC,Flora Masoyi wakizindua kitabu kinachohusi masula ya ardhi.

Mkurugenzi wa kituo cha Msaada wa Wasadizi wa Kisheria Morogoro,MPLC,Flora Masoyi akielekeza jambo kwa wadau wa masuala ya ardhi na haki za wanawake wilayani Mvomero.

Mratibu wa Ushirikiano na Mabadiliko ya kulinda haki za wanawake kutoka shirika la Legal Service Facility (LSF),Ramadhani Masele akizungumza na wadau wa masuala ya ardhi na haki za wanawake katika kata ya Dakawa Mvomero.

Wadua mbalimbali kutoka kata za Melela na Dakawa wakifuatilia semina iliyohusiana na ardhi na haki za wanawake.


No comments:

Post a Comment