mapigano ya wakulima na wafugaji.
 |
“Gari la Polisi likiwa limepakia miili ya watu wawili baada ya
kuokotwa vichakani katika maeneo ya mashamba ya wakulima katika kitongoji cha
Kikenge, Wilayani Kilosa , Mkoani Morogoro baada ya kuuawa kikatili kwa
kuchinjwa shingo zao na sime na wafugaji wa jamii ya kimasai baada ya kutokea
mapigano ya pande hizo mbili.”
|
No comments:
Post a Comment