Friday, August 21, 2015

MRADI WA FAHAMU,ONGEA,SIKILIZWA WATOA ELIMU YA UCHAGUZI KWA WANAWAKE MATOMBO MOROGORO.

Washiriki wa semina ya Wanawake na Uchaguzi wakiwa katika picha ya pamoja

Mwanasheria kutoka Kituo cha Msaada wa Wasaidizi wa Kisheria akitoa mada katika semina.

Afisa wa Haki za Jinsia,kutoka OXFAM Tanzania akiongea na washiriki wa semina Matombo.

Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja na wafadhili wa mradi wa Fahamu,Ongea,Sikiliza kutoka OXFAM  Tanzania.

No comments:

Post a Comment