Wednesday, August 21, 2013

KIBAKA AKITHIBITIWA BAADA YA KUMWIBIA MLEMAVU WA MIGUU KWENYE ENEO LAKE LA BIASHARA KATIKA BARABARA YA KITOPE MJINI MOROGORO.

Mlemavu wa miguu anayefahamika kwa jina la Popo katika maeneo ya morogoro mjini akijiandaa kutoa adhabu kwa kibaka aliyemwibia mara baada ya kukamatwa na wapita njia.

Mpita njia akimsadia mlemavu kumkamata kibaka aliyemwibia katika eneo lake la biashara barabara ya kitope manispaa ya morogoro.

Mlemavu wa miguu,Popo akimwangalia kwa hasira kibaka huyo mara baada ya kumpa kipigo kikali.
Kimath-Moro.

No comments:

Post a Comment