Wananchi wa Jimbo la Mikumi wakisikiliza viongoz wa chama wakati wa ufunguzi wa kampeni jimboni hapo. |
Mwenyekiti wa CCM,Mkoa wa Morogoro,Innocent Kalogeres akisalimiana na baadhi ya wagombea Ubunge na Udiwani. |
Wananchi wakifuatilia mkutano. |
Mwenyekiti wa CCM,mkoa wa Morogoro,Innocent Kalogeres akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Mikumi Jonas Nkya |
Umati wa watu wakifuatilia mkutano. |
No comments:
Post a Comment