Mgambo wa Manispaa ya Morogoro wakiwa wamemkamata mfanyabiashara (machinga) wakiwa wamekwida na kumnyang'anya mali zake , hata hivyo mgambo hao wamekuwa wakilalamikiwa kujihusisha na matukio ya kuiba mali za wafanyabiashara hao mara wanapowakamata .

No comments:
Post a Comment